August 2016 shirika la Korea kusini linalotengeneza aina mbalimbali ya vifaa vya umeme ikiwemo viyoyozi,machine za kufulia nguo,runinga,radio na vifaa vinginevyo vya umeme,ilitoa mwendelezo wa simu zake aina ya Samsung galaxy note 7s na kufanikiwa kuuza zaidi ya simu milioni moja (1) kati ya million (2.5 ambazo walizalisha,baada muda mchache tu malalamiko kutoka kwa wateja yalimiminika kuwa simu hizo zinalipuka pindi unapoiweka ili kuichagi na kuifanya iharibike kabisa,tatizo hili limeifanya Samsung kuwaambia wateja warudishe simu kiwandani ili kufanya uchunguzi zaidi,hatimae mwezi huu January ripoti ilitoka juu ya kashfa hiyo ni kuwa tatizo hilo linasababishwa na makosa ya kiufundi ktk mfumo wa kuchagi simu na kuifanya Betri kuchagiwa bila kiwango maalum na kuifanya kuzidiwa nguvu,kuwa na joto Kali,kuvimba na hatimaye kulipuka!! Samsung wameomba msamaha na kuahidi kurekebisha tatizo hilo,pia hata machine zao za kufulia iligundulika kuwa na matatizo ya kiufundu na kuifanya milango yake kufunguka ghafla bila kuamrishwa,matatizo haya yamafanya soko la bidhaa zinazozalishwa na Samsung kutoaminika na kushuka kwa mauzo duniani!
Home » No Label » SAMSUNG YANGUNDUA MCHAWI ANAYEFANYA SIMU YA GALAXY NOTE 7 S ILIPUKE IKIWA INACHAJIWA!
0 Comments "SAMSUNG YANGUNDUA MCHAWI ANAYEFANYA SIMU YA GALAXY NOTE 7 S ILIPUKE IKIWA INACHAJIWA! "