MWENYEKITI WA CCM MBEYA MJINI ANUSURIKA KIFO.

Ni baada ya kupigwa risasi na na kumpata sehemu za mgongoni,Tukio hilo limetokea usiku wa tarehe 29/1/2017 majira ya saa 5:45 alipokuwa amelala chumbani na kuona watu wakipita na kuzunguka ktk dirisha kwake.
Mwenyekiti huyo bwana efrahimu mwaitenda mwenye umri wa miaka(60)amepatwa na mkasa huo ktk kitongoji cha ilopa kijiji cha mahenge,kata ya makweliewilayani kyela mkoa mbeya.
Silaha iliyotumika ni ya kienyeji ambayo hutumia goroli kama risasi,kwasasa amelazwa hospitali ya rufaa mbeya kwa kuondolewa na kupata matibabu zaidi.
uchunguzi wa aidi unafanywana polisi kubaini waliohusika na shambulio hilo.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MWENYEKITI WA CCM MBEYA MJINI ANUSURIKA KIFO."

Back To Top