MATOKEO KIDATO CHA 4:
Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu, NECTA yatangaza.
Wavulana wafaulu kwa asilimia 73.26, wasichana 67.06.
Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne.

>http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm
Matokeo ya Qt haya hapa
> http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/QT2016.html
0 Comments "MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016"