MJUE JACKIE CHAN!

Miongoni mwa wacheza filamu maarufu na wenye mafanikio makubwa kutokana na kazi hiyo basi hutomwacha kumtaja Jackie chan.
Jina halisi ni(chan Kong sang) amezaliwa 7/4/1954,sasa ana umri wa miaka 62.
Amezalia mji wa hong Kong nchini china. Amesomea mambo ya martial arts,acrobatics,drama na hata kuimba,alianza kusoma akiwa na umri wa miaka saba.
Jackie chan ameoa mke anaitwa Joan Lin 1982,amefanikiwa kuzaa nae watoto wawili Jaycee 1982,etta 1999.
Wazazi wa Jackie chan ni Charles baba,Lee chan mama.
Jack alianza kufanikiwa zaidi ktk kazi hii ya uigizaji miaka ya. 1980.Baadhi ya filamu zake ni police story 1985,rumble in Bronx 1995,who am I 1998,shanghai noon 2000,rush hour,forbidden kingdom 2008.
Kazi za Jackie chan kuigiza,kusimamia,kuongoza filamu.
Jackie anayo majina ya utani kama yuen Lou na big brother.
Amepokea medali zaidi ya 9 mbalimbali kwa uigizaji bora.
Jackie chan pia ni mwanahisa ktk kampuni ya Mitsubishi ya Japan.
Pia amesaidia mambo mengi ikiwemo elimu,Afya huko China!

Share :

Facebook Twitter Google+
1 Comment "MJUE JACKIE CHAN! "

Back To Top