MKONGWE WA FILAMU HOLLYWOOD SIR JOHN HURT AFARIKI DUNIA...

Mcheza filamu mwenye utaifa wa uingereza sir john hurt amwfariki dunia baada kuugua kwa muda mrefu magonjwa ya kansa na matatizo ktk mfumo wake wa utumbo mwembamba,hurt amezaliwa January 22 1940 nchini uingereza,amefariki akiwa na umri wa miaka 77,mkongwe huyu ameshafanya filamu kama(the elephant man,allien na zile filamu za harry potter) ambazo ziliuza mauzo ya juu duniai!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MKONGWE WA FILAMU HOLLYWOOD SIR JOHN HURT AFARIKI DUNIA..."

Back To Top