''JAMES BOND SINCE 1962 ......''
''DIE ANOTHER DAY,
CASINO ROYALE''
Ktk ulinzi wa nchi au dola wahusika wenye jukumu hilo huwa......
hawatumii majina yao ya kweli,
hawana makazi maalum,
sio rahisi kujua ni kazi ipi wanafanya,
uweza kuendesha au kutumia karibu kila aina ya vifaa vya ulinzi au vyombo vya moto (ndege,gari na mashine mbalimbali),
ufahamu kwa kusoma,kuandika,kuzungumza lugha zaidi ya moja kwa ufasaha,
watu hawa huwa na akili au uwezo mkubwa wa ziada au kufikiri kwa haraka (Genius),
wanawake,pombe,kamali uwa sehemu za maisha yao,
utumia mda mwingi kuzunguka dunia au nchi kuliko kukaa kwao,
wengi ktk wao sio rahisi kukuta wana familia (mke,mume,watoto) play boys,
taarifa zao nyingi zinazowahusu uwa hazina ukweli,wanaficha ukweli wao sana,
ikiwa ni mwanamke au mwanamme basi wanakuwa wazuri sana kwa sura na hata maumbile kiasi cha kumvutia mwanamme au mwanamke yeyote yule,
uishi maisha ya anasa na starehe pia uweza kujichanganya ktk makundi yeyote chini hadi juu ikiwa kuna taarifa wanazitaka,
uishi ktk pande mbili za shilingi (ubaya na uzuri) ufanyika kwa lengo la kulinda dola,
Toka mwaka 1962 mfululizo wa filamu hizi za james bond umekuwa ukitoka hadi leo ni sasa kutimiza miaka 56.
Zaidi ya waigizaji sita wameshiriki ktk filamu hizi kila mmoja kwa wakati wake wakiwemo.....
Sean Connery,
Roger moore,
Timothy Dalton,
George Lisenby
na
Daniel Craig
007 (zero zero seven ao double o seven) ndio jina linalotumika na wapelelezi hawa ndani ya filamu hizi za kijasusi na kimafia.
0 Comments "UNAFAHAMU NINI JUU YA FILAMU ZA JAMES BOND? FAHAMU ZAIDI"