Watu zaidi ya 23 wamethibika kufariki dunia nchini marekani ktk jimbo la california kutokana na moto wa msituni unaoendelea kuwaka kwa kasi kwa zaidi ya wiki sasa,moto huo umesababisha hasara kubwa kwa kuunguza kiasi kikubwa cha nyumba na majengo mbalimbali.
Wanyama na mimea mingi imeteketea kwa moto huo unaowaka kwa kasi kubwa kutokana na upepo mkali unaovuma ktk jimbo hilo.
Hii si mara ya kwanza kutokea kwa majanga kama haya ya moto,mwaka 2012,2013,2014 pia moto uliwaka na kuteketeza kiasi kikubwa cha mali za watu,hakari za misitu zaidi ya lai 636,772 na zaidi ya dola milioni 1,081 ikiwa ni gharama iliyotumika kupambana n moto huo na kitengo cha zima moto.

0 Comments "WATU 23 WAFARIKI KUTOKANA NA MOTO WA MSITUNI CALIFORNIA"