Mwanasheria wa chama cha upinzani cha CHADEMA Mh.Antipas Tundu Lissu amepigwa risasi akiwa nyumbani kwake Dodoma kabla ya kushuka, Vyanzo vya habari vinasema kuwa mwanasheria huyo amepigwa risasi nyingi na ameshakimbizwa hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa matibabu lakini hata hivyo hali yake si nzuri kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata baada ya kupigwa risasi.
Watu waliofanya hivyo bado hawajajulikana na hakuna taarifa rasmi hadi sasa kama wamekamtwa au la.
Mwanasheria huyu wa kujitegemea amejikuta ktk misukosuko mara kwa mara na serikali hasa ktk kufichua mambo mengi ya serikali yakiwemo ya mikataba hewa.taarifa kamili zitawajia ..........

0 Comments "TUNDU LISSU MAHUTUTI BAADA YA KUPIGWA RISASI"