FLORIDA KUANGAMIZWA NA KIMBUNGA IRMA

Mwendelezo wa kimbunga Irma kilichoanzia ktk bahari ya atlantiki na kuharibu vibaya visiwa vya St.martin.barts,Dominican,Haiti,Cuba sasa kimefika ktk nchi ya Marekani ktk jimbo la Florida na kuleta uharibifu mkubwa kwa mali na maisha ya watu wa eneo hilo.

Kimbunga IRMA kimekuwa kimbunga kilichoandika historia kwa kuwa miongoni mwa vimbnga vilivyofanya uharibifu wa hali ya juu kwa kuharibu miundombimu ya umeme,viwanda,barabaran.k,kimbunga hiki kimelazimisha maelfu ya watu kwa ajili ya usalama wao.

Watu wasio waaminifu wametumia mwanya huo ktk kufanya wizi ktk maduka kwa kuvunja milango na madirisha na kuchukua mali za watu.


Rais Donald Trump ameahidi kutoa fedha kwa ajili ya kufanya marekebisho,usafi na kufidia watu kwa hasara walizozipata ktk miji ya Huston,Florida.






Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "FLORIDA KUANGAMIZWA NA KIMBUNGA IRMA"

Back To Top