Jamhuri ya watu wa china imeisaidia nchi ya zimbabwe maelfu ya tani ya mchele kwenda kusaidia wahanga wa njaa ktk nchi hiyo inayosababishwa na ukame uliokumba eneo hilo kwa mda mrefu zaidi.
Zaidi ya tani elfu 12 zimepelekwa zimbabwe hivi karibuni na zaidi ya tani 19 elfu zilishatumwa huko nyuma na serikali ya china na hii kuwa ni mara ya pili ktk kipindi cha mwaka mmoja,Msaada huo wa tani za mchele tani elfu 12 umegharimu zaidi ya dola za kimarekani milioni $25.
Zimbabwe imekuwa na uhusano wa karibu na serikali ya watu wa china ktk mambo mengi ya kiuchumi na kijamii kwa mda mrefu zaidi.

0 Comments "CHINA KUBAKI RAFIKI WA KWELI KWA ZIMBABWE KWA KUISAIDIA MAELFU YA TANI ZA MCHELE"