WATATU WAFARIKI KTK MAANDAMANO JIMBO LA VIRGINIA MAREKANI

Maandamano makubwa kuwahi kutokea ktk kipindi cha muongo mmoja yamesababisha mauaji ya watu 3 na kuumiza wapatao 19 walikuwa wakishiriki ktk maandamano hayo ya kupinga sheria za uhamiaji,ubaguzi wa rangi ktk jimbo la virginia marekani.

Kundi la KU KLUX KLAN (KKK) linaloundwa na wazungu wanaojiita White supremacy walikuwa wakifanya maandamano yao ya amani tu ndip ghafla ilipotokea gari ndogo aina ya Dodger Challenger rangi ya ya mng'ao na kuvamia kundi kubwa hilo la watu kwa kasi kubwa na kuwagonga baadhi ya waandamanaji hao na kuwasabisha vifo na wengine majeraha makubwa.

Waandamanaji hao pia walikuwa na kusudio la kwenda kutoa sanamu la mwanajeshi Generali Robert e.Lee

Gavana wa jimbo hilo la virginia Terry McAullife ametangaza hali ya hatari kwa mda kutokana na matukio hayo ya kusikitisha yalisababshwa na watu hao ambao wana asili ya kundi la wanazi wa ujerumani (Nazis).


Rais Trump amesikitishwa na kulaani maauaji hayo yaliosababishwa na maandamano hayon na kufanya kijana mwenye gari kuja na kugonga watu hovyo kwa kupeleka gari nyuma na mbela kwa kasi kubwa.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WATATU WAFARIKI KTK MAANDAMANO JIMBO LA VIRGINIA MAREKANI"

Back To Top