WANAOTUMIA VIPODOZI VYENYE MADINI YA ZEBAKI (MERCURY) KUZIWEKA AFYA ZAO HATARINI

Kwa wale wote wanaotumia vipodozi kwaajili ya kweka nywele au ngozi zao vyema ili ziwe na muonekano mzuri zaidi hivyo kuleta mvutoi kwa wanomtazama hii sasa kwao inageuka kuwa shubiri kubwa baada ya viwanda vingi vinavyotengeneza vipodozi hivyo vyaaina mbalimbali ulimwenguni kote kuonekana kuwa vina kiwango kikubwa cha madini ya zebaki au mercuryambayo karibu kwa kila kipodozi kimeonekana kuchanganywa na madini haya.
Madini haya sio pekee uonekana ktk vipodozi bali pia utumika ktk shughuli nzima za uchenjuaji wa madini ya aina mbalimbali huko migodini,hali hii inawapelekea watu wafanyao kazi au kuishi karibu na migodi hiyo kujikuta wakiwa ktk hatari ya kunywa au kutumia maji yenye madini haya hatari ya zebaki.
Sasa ulimwenguni kote kumekuwa uibukaji wa magonjwa ya iana nyingi ambayo hukosa tiba wala kinga na mbaya zaidi kutokujulikana  vyanzo vyake,baadhi ya magonjwa hayo ni kama Kansa,magonjwa ya ini,figo ambayo yamekuwa yakishamiri kwa kasi duniani kote.

Wataalam wa mambo ya afya wanazidi kutafiti na kugundua kuwa madini ya ebaki ambayo utumika ktk shughuli za kuzalisha hasa vifaa vya umeme kama runinga,saa,simu n.k yamekuwa ni moja ya vyanzo vya maonjwa haya makubwa.

Kansa,figo,ngozi,ubongo uweza kuathirika kwa taratibu endapo madini haya ya zebaki yataingia mwilini mwa mwanadamu yanaweza kuleta madahara kama kuharibu mimba,kukosa kushika mimba (Ugumba),kuzaa watoto walemavu,watoto wenye mtindio wa ubongo,kukosa kutunza kumbukumbu kwa mtu,

Shirika la afya duniani limetoa tahadhari kwa watu wote wanoishi sehemu za migodi au kutumia vitu vilivyo na kiwango kikubwa cha madini haya ya zebaki kuwa akini na kuepua hali hiyo ya kutumia vipodozi au vitu vyenye zebaki.
Kwa wale ambao asilimia 80% wao utumia vipodozi vikali ktk ngozi,nywele au mdomo (Lipstick) wao wanauwa hatarinin zaidi kujikuta kuingia ktk matatizo hayo ya kiafya hasa baada ya utumia kwa miaka mingi ndio uibuka.

Viumbe hai wa nchi kavu na majini pia uweza kuathirka na madini haya ya zebaki na hata kusababisha vifo.



Vipodozi na viremba miiili vingi uwekwa madini haya hatari kwa afya ya mwanadamu.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WANAOTUMIA VIPODOZI VYENYE MADINI YA ZEBAKI (MERCURY) KUZIWEKA AFYA ZAO HATARINI"

Back To Top