BAADA YA TETEMEKO LA ARDHI SASA MAFURIKO YAISAFISHA NEPAL

Mvua zilizoambatana na upepo mkali sana zimeendelea kunyesha ktk nchi ya Nepal hasa ktk jiji la Kathimandu ambayo imesababisha mafuriko makubwa na kuharibu miundombinu kwa kiasi kikubwa sanna,watu wapatao 47 wamefariki na zaidi ya 36 wanahofiwa kusombwa na mafuriko hayo.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 ktk jiji hilo la kathumandu lilikubwa na tetemeko kali la ardhi lilisababisha maafa makubwa kwa maisha na mali za watu.

Nchi hii ya nepal inayopatikana ktk milima ya himalaya mara nyingi ikikumbwa na mabalaa haya ya mafuriko na matetemeko ya ardhi.




Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "BAADA YA TETEMEKO LA ARDHI SASA MAFURIKO YAISAFISHA NEPAL"

Back To Top