Rais John Pombe Magufuli amepokea msaada wa Dola milioni 450 za kimarekani kutoka kwa balozi Stewat wa uingereza ikiwa ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini kama elimu,afya na mambo mengine.
Wawakilishi hao ambao wamemsifu na kupongeza Rais Magufuli kwa harakati na jitihada zake kubwa toka kuwepo kwake madarakani novemba 2015 amepambana na rushwa kwa kiasi kikubwa na kuifanya uingereza kupendezwa na hali hiyo ya matumizi mazuri ya pesa zake inazozitoa kwa Tanzania.
0 Comments "UINGEREZA YAMWAGA MAMILIONI YA DOLA TANZANIA"