
Mawazo ya ujenzi wa daraja hili ulianza mapema kabisa ktk miaka ya 1872 kwa nia ya kuunganisha miji ya california ya kaskazini na peninsula ya san fransisco ambapo kuna mondo au mlango wa bahari mpana wa maili 1.7 sawa na futi 8,981 sawa na kilomita 2.74 ambapo kilikuwa kama kikwazo kikuu ktk mawasiliano baina ya miji hii miwili.

Daraja hili lina zito wa jumla tani laki nane na themanini na saba elfu (894,000),zikiwemo tani elfu tehemanini na nane elfu (88,000) zikiwa ni za chuma tupu (iron steel),tani 80,000 zikiwa ni za waya maalumu za chuma kwa ajili ya kushikilia daraja hilo la kuning'inia (Suspension bridge),daraja hili linashikiliwa na nguzo mbili kubwa zilizopo pande zote mbili ambazo kila moja ina uwezo wa kubeba tani elfu arobaini na nne (44,000).

The golden gate bridge limetengenezwa likiwa na njia 6 za kupita magari ikikwa 3 kwa ajili ya kwenda na 3 kurudi,pia njia 2 ndogo za wapita kwa miguu na waendesha baiskeli,upana wa daraja hilin ni futi 90.
Gharama za daraja ili lilitumia dola za kimarekani milioni thelathini na tano nukta tano 35,000,000 (USD35.5) kwa mwaka huo ikiwa sawa na shilingi za kitanzania bilioni mia saba na themanini na tano (78,365,001,119.50).

Daraja hili limekuwa ni kiungo kikubwa cha uchumi wa taifa la marekani hasa kwa miji hii muhimu kibiashara na starehe.

mwonekano wa daraja hilo nyakati za usiku na mchana
0 Comments "''THE GOLDEN GATE BRIDGE'' DARAJA REFU ZAIDI KUJENGWA KARNE YA 19C."