Jana jumanne wakenya wameonekana ktk misululu mirefu tayari kwa kupiga kura kwa uchaguzi mkuu huu wa 2017 ambao nakusudio la kuwachagua maseneta,magavana na rais watakaongoza jamhuri hiyop ya kenya kwa kipindi kingine cha miaka minne ijayo.
video 2
Matokeo ya awali ya uchaguzi huo yaliyotolewa hivi punde yanaonyesha kuwa Uhuru Mwagae Kenyatta anaongoza kwa kiwango cha asilimia 54.8 kutoka Jubilee,huku Raila Odinga akiwa na 44.3 kutoka muungano wa NASA ikiwa ni zaidi kura milioni moja na laki nne zilizokwisha hesabiwa (1,400,000) ikiwa ni zaidi asilimia 80% tume ya uchaguzi ya kenya ia IEBC ilisema.
Kenya ilikumbwa na machafuko ya kisiasa mwaka 2007 yaliosababisha mauaji ya watu wapato 1,100 na wengine zaidi ya laki sita (600,000) kuyakimbia makazi yao.
video 2
0 Comments "MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI KENYA YAMTOA KIJASHO CHEMBAMBA ODINGA"