Ktk harakati za kusubiria matokeo ya uchaguzi mkuu wa kenya uliafanyika siku ya jumanne wiki hii zimeanza kuleta picha mbaya ya kiusalama nchini humo baada ya watu kadhaa kuripotiwa kuuwawa kutokana na machafuko yanayoendelea sehemu mbalimbali.
Machafuko haya yanatokea baada ya kucheleweshwa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi ila kutolewa kwa matokeo ya awali tu ambayo pia yanaonyesa kuwa kama kuna udanganyifu ktk matokeo hayo kwa wapinzani wa NASA kuhisi wagombea wao wa ngazi mbalimbali kuibiwa kura zao ikiwemo mgombea urais Raila Odinga.
Watu wameonekana kuzagaa mitaa mbalimbali ya jiji la Nairobi hasa mitaa yenye makazi ya watu masikini kama Kibela,polisi wameonekana kukabiliana vilivyo na maandaamano au mikusanyiko yeyote isiyokuwa rasmi hivyo wamejikuta wakipigana na watu hao walio ktk makundi makubwa.
hadi sasa mogombea urais kupitia tiketi ya jubilee Uhuru Kenyata anaongoza kwa asilimia 52.4% sawa na kura milioni 8,130,244 na mgombea Raila Odinga kupitia NASA 44.9 sawa na kura milioni 6,747,896 na wagombea wengine wakiwa na asilimia ndogo kabisa ya kura hizo.

0 Comments "CHECHE ZA MAUAJI YA UCHAGUZI KENYA ZAANZA KUNUKIA "