Askofu Mugadza wa kanisa moja ktk jiji la Harare ametabiria kifo rais Robert Mugabe ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 93 kuwa Kiongozi huyo wanaemuona kama dikteta kwa kipindi kirefu cha utawala wake toka mwanzoni mwa miaka ya 1980 alipoitoa nchi hiyo ktk utawala wa kikoloni wa waingereza kuwa rais mugabe kifo chake kitakuwa tarehe 17 mwezi Octoba 2017.Mugabe amekuwa adui kwa mataifa ya nje baada ya kupitisha sheria ya ardhi iliyowafanya wakulima wengi wakubwa wa kizungu kuondoka na kuyaacha mashamba hayo kwa waafrika ambao wengi wameshindwa kuyaendeleza na mengi yake kufa kabisa,uchumi wa zimbabwe umedolola kwa kwa kiasi kikubwa sana kutokana na vikwazo ilivyowekewa na mataifa ya ulaya na marekani.
0 Comments "ASKOFU MUGADZA AMTABIRIA KIFO RAIS MUGABE"