ASKOFU GWAJIMA ALIAMSHA DUDE KWA KUONYESHA JEURI YA FEDHA BAADA YA KUNUNUA NDEGE YAKE BINAFSI

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima nchini ameonyesha jeuri ya matumizi ya fedha baada ya kununua ndege yake binafsi iliyowasili jijini  Dar es salaam hivi karibuni.

Gwajima ambaye alikusudia pia kuleata treni yake hapa nchini ameipokea ndege yake hiyao aina  ya Gulfstream N6098 (Bussiness jet) yenye uwezomwa kubeba hadi abiria 10,ndege hiinyenye uwezo wa kusafiri umabli wa kilomita  900 kwa saa na kusafiri kwa umbali wa kilomita 8,000 bila kuongeza mafuta ikiwa sawa na kutoka Rio De jeneiro brazili hadi Dar es salaam

Ndege hii yenye sehemu ya ofisi,ukumbi wa chakula,veranda ni ya kisasa zaidi kuwahi kuwepo nchini.

Thamani ya ndege hii ni shilingi za kitanzania bilioni mbili na milioni mia sita na laki nne (2.64Tsh) au sawa na milioni elfu mbili mia sita na laki nne.

Kusudio na madhum,uni ya kununua ndege hii ni ili imsaidie ktk kazi zake za kidini hasa ktk makanisa yake yaliopo nchini.

Gwajima ambaye mara kadhaa amejikuta matatani na vyombo vya usalama kwa kutuhumiwa kwa makosa ya utumiaji wa madawa ya kulevya,kutoa kaluli kali kwa viongozi wa serikali,amekuwa nyota kwa waumini kwani amekuwa akipendwa zaidi na kufanya ibada zake kuhudhuriwa na maelfu ya waumini kanisani kwake.

 Huu ndio muonekano wa ndani wa ndege hiyo ya askofu gwajima.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "ASKOFU GWAJIMA ALIAMSHA DUDE KWA KUONYESHA JEURI YA FEDHA BAADA YA KUNUNUA NDEGE YAKE BINAFSI"

Back To Top