Rais wa marekani Donald Trump akiwa ameambatana na familia yake ametembela nchi za poland na ujerumani leo kujitaarisha kwa ajili ya kuhuhudhuria mkutano wa mataifa 20 yaliyoendelea kiviwanda duniani kama ujerumani,uingereza,urusi,ubeligiji,italia,brazil,china,singapore na marekani yenyewe utakaofanyika nchini humo ujerumani.
Ktk mkutano huo Trump anatarajia kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin na Bi Angela Markel kansela wa ujerumani.
Hata hivyo ujio huo wa Rias Trump ndani ya ujerumani umesababisha maandamano ktk miji ya Berlin na jiji alilishukia la Hamburg.
Trump alisindikizwa na helikopta kadhaa baada ya kushuka ktk ndege yake maalum ya Air force one.

0 Comments "TRUMP ATEMBELEA POLAND NA UJERUMANI NA KUHUDHURIA MKUTANO WA G 20"