NDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA NA KUUA WANAJESHI 16 MISSISSIPPI

Ndege ya jeshi la marekani iliyokuwa imebeba wanajeshi kadhaa ikiwa ktk safari zake za kawaida za kimajukumu imeanguka ghafla na kuua wanajeshi wapatao 16 papo hapo.

Ajali hiyo ambayo haijajulikana chanzo chake hasa nini kipi imetokea ktk jimbo la Mississippi,bado hadi sasa haijafahamika kuwa ndani ya ndege hiyo kulikuwepo na raia wa kawaida au la.

Mara kwa mara kumekuwa kukijitokeza ajali za ndege hizi za kjeshi zinazosababishwa na hitilafu za kiufundi na hali mbaya ya hewa,



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "NDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA NA KUUA WANAJESHI 16 MISSISSIPPI"

Back To Top