MZEE WA MIAKA 66 AMWAGA RISASI MCHANA KWEUPE JIRANI NA JENGO LA BUNGE LA MAREKANI

Mzee mwenye umri wa miaka 66 aliyefahamika kwa majina ya James Hodkinson amewaacha maafisa wa polisi walikuwa wakilinda jengo la bunge la marekani la Capitol hill lililopo jiji la Washinghton marekani likiwa maalum kwa ajili ya Utungaji wa sheria au jengo la bunge kuu la marekani.

Mtu huyo wa makamu aliingia ndani ya uwanja wa mpira wa Baseball uliopo jirani na viwanja hivyo vya jengo kongwe la Capitol hill ambapo baadhi ya maofisa walikuwa wakifanya michezo na mazoezi mbalimbali na kuamua kufyatua risasi hovyo na kuumiza zaidi ya watu watano 5 akiwemo mwanasheria maarufu wa baraza la congress Steve Scalise aliyeumia vibaya sana na kukimbizwa hosptali akiwa mahututi.

Polisi ilisema kuwa mtu huyo aliyepiga risasi yeye alifanya hivyo kwa kuwa alikuwa na hasir na utawala wa Donald Trump ambao yeye binafsi haukubali kabisa kutokana na kashfa za kuibiwa kwa kura ktk uchaguzi wa mwaka 2016 mwezi novemba.

Pia polisi waliongeza kuwa inawezekana mtu huyu ana matatizo ya akili ndio maana aliamua kufanya hivyo na sio kitendo cha ugaidi kama wengi wanavyohisi.
























Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MZEE WA MIAKA 66 AMWAGA RISASI MCHANA KWEUPE JIRANI NA JENGO LA BUNGE LA MAREKANI"

Back To Top