Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa libya Muamar Ghadafi ajulikanae kwa jina la Seif al islam ameavhiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji,utesaji na mauaji ya raia wa libya wakati wa utawala wa baba yake Muamar ghadafi.
Hali ya libya imekuwa mbaya zaidi baada ya machafuko yaliyopelekea maandamano makubwa nchi nzim yaliyosababisha kuanguka kwa utawala wa Muamar ghadafi aliyetawala taifa hilo kwa mda mrefu kwa mkono wa chuma baada ya kufanya mapinduzi kwa serikali iliyokuwepo nyakati hizo.
Mgogoro wa libya uliingia hatua mbaya zaidi baada ya marekani na washirika wake wa NATO kuingilia na kuingia ndai ya libya na kuanza kupiga vikosi vya seriksali hadi pale walipofanikiwa kuingia miji ya Benghazi,Tripoli na hatimaye kumuua Kanali muamar Ghadafi kwa kutumia vikosi vya waasi.
Seif al islam wakati wa utawala wa baba yake Kanali Muamar Ghadafi

0 Comments "MTOTO WA MUAMAR GHADAFI SEIF AL ISLAM AACHIWA HURU"