Mlipuko mkubwa uliotokea ktk shule ya watoto ya kutwa ya Chuangxin iliyopo ktk mji wa Fengxian ktk jimbo la Jiangsu na kuua watu wapatao 8 waliokuwepo eneo la tukio,shambulio hili limechukuliwa kama ni la kigaidi kwakuwa lilipangwa na kutekelezwa na mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina la Xu mwenye umri wa miaka 22.
Bomu hilo la kujitengenezea mwenyewe (home made explosive bomb) limesababisha mamia ya watu kujeruhiwa vibaya kwakuwa lilitekelezwa nje ya jengo hilo la shule ya watoto.
China si miongoni mwa nchi zenye machafuko ya ndani ya kigaidi hasa kwa wageni kuingia na kutekeleza matukio hayo ukilinganisha na nchi za magharibi.

0 Comments "MLIPUKO WA BOMU WAUA 8 SHULE YA WATOTO CHINA"