Kwa mara ya kwanza Rais wa marekani Donald Trump amefanya ziara ya kirafiki kwa Himaya ya kifalme ya Saudi Arabia iliyo na utajiri mkubwa wa hazina ya mafuta.
Ziara hii ya Trunp kama ni kujikosha kwa kile kitendo cha kuzuia raia wa kuoka mataifa saba kuishi na kuingia marekani kwa kisingizio cha vitendo vya kigaidi,Baadhi ya mataifa hayo ni irani,syria,iraq,somalia.
Trump akiwa ameongozana na mkewe na watoto wake wadogo wakiwa wamevalishwa shungi kiu ambacho kimewashangaza watu wengi kwakuwa mara nyingi Viongozi wengi hukiuka sheria za nchi kama hizi zinazomtaka mwanamke kujisitiri kwa mavazi yenye maadili hata kama sio mkaazi wa nchi hizi.
Ktk hali isiyo ya kawaida mfalme Abdullah wa himaya ya Saudi arabia amemzawadia medali mkufu wa dhahabu ikiwa kama ishara ya urafiki mwema baina ya Saudia na Marekani.

0 Comments "TRUMP APEWA ZAWADI YA MKUFU WA DHAHABU SAUDI ARABIA"