TALIBAN WAUA 18 KWA KUJITOLEA MUHANGA NDANI YA MWEZI WA RAMADHAN

Wapiganaji wa kikundi cha Taliban wamekiri kuhusika na shambulio la kujitolea mhanga ktk gari lililosababisha vifo vya watu 18 walikuwepo jirani na eneo la tukio na kuumiza zaidi ya watu 36.

Shambulio hilo baya kutokea nadani ya mwezi huu mtukufu wa mfungo ramadhani kwa waislamu ndani ya taifa hilo na duniani kwa ujumla ulianza siku moja tu limewashangaza watu wengi kwakuwa sio kawaida ya wataliban kupigana nadani ya mwezi mtukufu wa ramadhan,kwa kawaida vikundi hivi vya wanamgambo wa Taliban,isis,al qaeda,alshabaab huwa wanasimamisha mapigano kwa mda wote wa mwezi mmoja wanapokuwa ndani ya mwezi mtukufu wa mfungo wa ramadhan.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TALIBAN WAUA 18 KWA KUJITOLEA MUHANGA NDANI YA MWEZI WA RAMADHAN"

Back To Top