MUIGIZAJI NGULI NA MKONGWE WA FILAMU ZA KIJASUSI (JAMES BOND) SIR ROGER MOORE AFARIKI DUNIA

Mchezaji filamu mwenye asili ya uingereza sir Roger moore maarufu ktk jina la uigizaji kama James Bond amefariki dunia  siku ya jumanne mei 23 2017 akiwa nchini uswizi  kwa ugonjwa wa kansa uliokuwa ukimsumbua kwa mda mrefu.
Roger moore maarufu kama James Bond aliyefariki akiwa na umri wa miaka 89 alizaliwa oktoba 24 1927 huko mtaa wa stokwell jiji la london inchini uingereza,aliazanza kazi zake za uingizaji wa filamu mwanzonni mwa maika ya 1950 na kuanza kujipatia umaarufu zaidi mwanzani mwa miaka ya ya 1970 kwa kuigiza filamu kama The spyn who loves me,mtiririko wa filamu za james bond,007 kama for your eyes,live and let die,moon reker,octopus.

James bond alikuwa maarufu kwa kuigiza filamu za kiuchunguzi na kijasusi aliapata utajiri mkubwa kwa kazi zake hizo nzuri zilizopendwa na watu wengi duniani.

Nguli na mwanzilishi huyu wa filamu za kijasusi alibarikiwa kupata watoto watatu ambao ni Deborrah moore,geofrey moore na christian moore kutoka kwa wake zake kadhaa aliowahi kuishi nao akiwamo Kristina Tholstrup aliyeoa mwaka 2002 na kuwa naye hadi ulipomkuta umauti wake mwaka huu may 2017.

Tasnia ya uigizaji imepata pigo kubwa na kumpoteza mtu maarufu sana duniani ktk uigizaji wa filamu za kijasusi filamu hizi za kijasusi bado ni maarufu na wapo watu wanaoendelea kuiga na kufauata nyayo za nguli huyu kwa kuendeleza kama Daniel Cage ktk filamu kama spectre,,Jason Stataham,Liam Neeson aliyeigiza filamu za Taken.











Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MUIGIZAJI NGULI NA MKONGWE WA FILAMU ZA KIJASUSI (JAMES BOND) SIR ROGER MOORE AFARIKI DUNIA"

Back To Top