SAFARI ZA TRENI KUANZIA MOROGORO BAADA YA KUTITIA KWA DARAJA LA MTO RUVU

Shirika la mamlaka ya usafiri wa reli Tanzania TRL limelazimika kuanzisha safari za usafiri wa treni ya abiri ktk kituo chamorogoro baada ya kutokea kwa kutitia kwa daraja la reli la mto ruvu kutokana na kiwango kikubwa cha maji yanayopita kwa kasi baada ya mvua zinazonyesha ktk maeneo mbalimbali nchini na kuleta maafa na uharibifu mkubwa ktk miundombinu ya reli na barabara sehemu


nyingi.

Wasafiri wote watalazimika kuchukuliwa kwa mabasi hadi kituo cha reli cha morogoro na kuanza safari yao hiyo kuanzia hapo na kuelekea mikoa ya bara.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SAFARI ZA TRENI KUANZIA MOROGORO BAADA YA KUTITIA KWA DARAJA LA MTO RUVU "

Back To Top