HOFU YA KUPINDULIWA YAMKOSESHA KIKAO NKURUNZINZA KIKAO EAC

Kikao cha jumuiya ya afrika mashariki kinachotarijiwa kufanyika leo jumamosi mei 20 2017 kimemkosesha usingizi Rais wa Burundi  Mh. Pierre Nkurunzinza na kumfanya kumtuma mwakilishi tu kuja kuhudhuria ktk mkutano huo wa wakuu wa juimuiya ya afrika mashariki kwa kuhofia kujirudia tena jaribio la kupindua serikali yake kama lilivyotokea hapo awali ambapo alikua nje ya nchi ktk mkutano kama huu ambapo machafuko ya kujaribu kupindua serikali yake yaliibuka ghfla na kumfanya kuwa hatiani na uongozi wake.

Hata hivyo jaribio hilo la mapinduzi alifanikiwa kulizima licha mauaji na uharibifu wa mali kadhaa kutokea na kumfanya kiongozi huyo kutokutoka nje ya nchi yake toka kutokea kwa jaribio hilo,Burundi na Rwanda ni miongoni mwa nchi zinazokumbwa na majaribio ya mapinduzi ya mara kwa mara kutokana na visasi,vikundi vyan waasi na ukabila wa makabila makuu ya wahutu na watusi,waliosababisha mauaji makubwa miaka ya 1994 huko rwanda.

Hata hivyo mkutano ho utahudhuriwa na Marisi John Pombe Magufuli wa Tanzania,Yoweri kaguta Museven wa Uganda,Makamu wa rais wa Kenya Wiliam Ruto,Paul Kagame wa Rwanda na mwakilkishi wa Rais wa Burundi.

Dhumuni kuu la mkutano huu ni kukabidhi madaraka kwa kutoka kwa Rais Magufuli kwenda kwa Kiongozi wa Uganda Bw. Yoweri Museven




Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "HOFU YA KUPINDULIWA YAMKOSESHA KIKAO NKURUNZINZA KIKAO EAC"

Back To Top