RAIS WA UTURUKI ACHARUKA: MBIO ZA KUJIUNGA UMOJA WA ULAYA (EU) ZIMEFIKA MWISHO

Rais wa uturuki Tayyip Erdogan anayeonekana kuwa na misimamo mikali juu ya sera kwa nchi za ulaya juzi Mei 2 2017 ameikemea jumuiya ya umoja wa ulaya Juu ya kuizungusha nchi yake ya uturuki ktk kukubali maombi yake ili kujiunga na umoja huo.









Uturuki ilianza kuomba kujiunga na umoja huo toka mwaka 1987 ikiwa sasa zaidi ya miaka 30 toka kuanza kwa maombi hayo bila kuwa na mafanikio, Edorgan ameiambia umoja wa ulaya kwa sasa anafikiri imatosha sana kujipendekeza kuomba kuingia umoja wa ulaya kwani hakuna sababu ya kuendelea kubembeleza jambo lisilowezekana kwa mda mrefu kiasi hiko.

Erdoga alieonyesha kuwa na msimamo mkali aliaongeza kwa kusema sasa waturuki wasahau ndoto hiyo ya kwenda umoja wa ulaya na wataangalia njia nyingene tofauti za kuwa na mahusiano na nchi hizo na sio ile ya kujiunga huko tena.





Umoja wa ualaya unaoundwa na nchi wanachama 27 licha ya uingereza kuwa ktk mchakato wa kujiondoa ktk umoja huo, Uturuki ndio itakuwa nchi ya kwanza ya kiarabu na kutoka bara la asia endapo ingekubaliwa kujiungana umoja huo.

Umoja huu wa ulaya unaungana ktk mambo ya kibiashara,usafirishaji,uchumi,ajira na pesa ya pamoja.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "RAIS WA UTURUKI ACHARUKA: MBIO ZA KUJIUNGA UMOJA WA ULAYA (EU) ZIMEFIKA MWISHO"

Back To Top