MISRI YASHAMBULIA LIBYA BAADA YA KUVAMIA MSAFARA WA WANAKANISA WA KIKOPTIKI



shambulio la wanamgambo wa vikundi vya kigaidi wamevamia basi iliyobeba waumini wa dini ya kikristo wa dhehebu la waumini wa kikoptiki ndani ya nchi ya misrina kuua watu 28 baada ya kupiga risasi waumini hao.


 Shambulizi hilo lilitokea kilomita 225 kusini mwa jiji la cairo nchini misri linahisiwa kufanya na kikundin cha wanamgambo wa nchi ya libya.




Rais Al sisi aliyeahidi kulinda mani ya waumini hao kwa nguvu zote baada ya kuchaguliwa kwake  baada ya kuupindua utawala wa Mohammed Morsi kutka kwa Mtawala mkongwe Hussein Mubaraka.






Waumini na makanisa haya ya kikoptiki yenye waumini wachache nchini misri yamekuwa yakikubwa na vitendo vya hujuma kutoka kwa vikundi vya kigaidi vyenye mtazamo mikali ya kiitikadi za kidini










Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MISRI YASHAMBULIA LIBYA BAADA YA KUVAMIA MSAFARA WA WANAKANISA WA KIKOPTIKI"

Back To Top