MAISHA,KIFO NA SHUGHULI ZA KUTUNZA PESA KABURINI KWA IVAN SSEMWANGA NI DALILI ZA KUABUDU DINI,MILA,DESTURI ZA KISHETANI!

Ivan Ssemwanga ni ina maarufu sana ktk nyakati hizi za miaka ya hivi karibuni hasa kwa utajiri wake alioupata ghafla na kuwafanya watu wengi kupigwa na butwaa kwa kujiuliza maswali ni kweli kazi yake ya kutoa tiba za kiasili ndio pekee iliyomuweka ktk nafasi hiyo ya utajiri mkubwa hasa ktk nchi ya Afrika kusini na Uganda.

Ivan Semwanga  aliezaliwa nchini Uganda desemba 12 1977 na kufariki mei 25 2017 akiwa na umri wa miaka 39,sehemu kuba ya uhai wake aliishi nchini afrika kusini toka mwaka 2000 akiwa amekwanda kwa ajili ya shughuli ya kutoa tiba za kiasilia.

Licha kazi yake kuu ilikuwa kutibu kiasili pia Ivan semwanga alikuwa akijishughulisha na maswala ya kibiashara ktk nci za afrika kusini,uganda na kwengineko.

Kijana huyu pia alifungua sehemu yake maalum ya kuabudu iliitwa kwa jianla Shaba wa Shaba shrine iliyovutia watu wengi kuja kuabudu na wengi wao kuwa na mafanikio ya kimaisha ya kifedha.

Shughuli hii ya za kutoa huduma ya tiba asilia kwa watu ndio iliyompa kiwango kikubwa cha fedha na kufanya kijana huyu kutumia hovyo kiasi cha watu kuona kama anakufuru.

Kinachotia shaka kwa watu na kuhisi kuwa kijana huyu alikuwa akijihusisha na kuabudu dini za kishetani ni ile hali ya kuumia pesa zaidi ktk starehe na makundi ya vijana sehemu mbalimbali barani afrika na kuacha watu wengi wenye mahitaji wakiteseka.

Mazishi yake kuhudhuliwa na matajiri wengi kutoka mbalimbali wengi wao wakiwa walipata mafanikio hayo baada ya kwenda na kupata huduma za tiba zake huko afrika kusinia au uganda.

Siku ya kuzikwa kwake eneo la kaburi lake walionekana baadhi ya matajiri hao wakitumbukiza mabunda ya pesa ndani ya kaburi lake kabla yajeneza lake kuwekwa rasmi wakiwa wanakusudia kuwa atazikwa na pesa hizo,jambo hili liliwashangaza watu wengi sana walikuwepo eneo hilo.

Dalili hii ya kuweka pesa kiasi kikubwa kilichokisiwa zaidi ya milioni 30 ktk pesa za kitanzania ni miongoni ya watu wanaoabudu dini za kishetani,kwani wao kwa kawaida upenda zaidi kutumia pesa ktk starehe kuliko ktk matatizo ya msingi ya kijamii.

Ivan pia alikuwa akishukiwa kujihusisha na kumiliki au kujiunga na kuwa na mahusiano na vikundi vya kihuni (Gang Members groups) kwani alikuwa akionekana kuwa na baadhi ya watu waliokuwa wanachama wa makundi hayo.






Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MAISHA,KIFO NA SHUGHULI ZA KUTUNZA PESA KABURINI KWA IVAN SSEMWANGA NI DALILI ZA KUABUDU DINI,MILA,DESTURI ZA KISHETANI!"

Back To Top