
Huko nchini uingereza kampuni kongwe na kubwa kwa utafiti,uchimbajin na kupembua mafuta na gesi duniani ya Shell imeamua kuunda meli yake yenyewe kubwa itakayotumika ktk shughuli zao hizo za uchimbaji wa mafuta na gesi ktk bahari zenye vina virefu zaidi.
Mafuta na gesi ambazo hupatikana ktk bahari kubwa huwa yanahitaji teknolojia ya hali juu ktk kuyachimba na kuvuna kwake kutokana na dhoruba za baharini kama vimbunga,radi naTusnami hivyo bila kutumia vyombo vyenye nguvu na kisasa zaidi ktk kupata rasilimali hizi za gesi na mafuta ambazo hupatikana ktk vinan virefu zaidi vya bahari.

Licha ya mataifa hayo kuwa na rasilimali hii kwa kiasi kikubwa bado kitu kikubwa kinachosumbua mtaifa hayo hasa ya afrika na mashariki ya kati ni teknologia ya kuyatafuta na kuyachimba mafuta na gesi hiyo hasa inapopatikana ktk vina vya bahari kuu.

Meli hii ikiwa haina mzigo ina uzito wa tani 24,500 elfu na uwezo wa kunyanyua mzigo kufikia tani tani 48,000 elfu, ina uwezo wa kubeba Galoni laki 143000gharama za ujenzi wa meli hii ni zaidi ya dola bilioni 2.4.
Baadhi ya meli nyingine kubwa ni kama ile ya Brent delta urefu mita 298.5,Eiffel tower mita 324,Blue Marlin yenye uwezo wa kubeba tani 10,0000.

0 Comments "KUTANA NA MELI KUBWA ZINAZOTUMIKA KUTAFITI,KUCHIMBA ,KUPEMBUA MAFUTA NA GESI"