IRAN WAIAMBIA SAUDI ARABIA KUWA NI WANAFIKI NA VIBARAKA WA MAREKANI WASIOFUATA MAFUNDISHO YA QURAN TUKUFU

Kiongozi wa nagzi ya juu na mwenye nguvu zaidi ktk serikali ya nchi ya mapinduzi ya kiislamu ya Iran toka mwaka 1979 Mkuu Ayyatollah Khomenei amebwatukia saudi arabia kuwa wao ni taifa la kiislamu lenye misimamo ya kinafiki kwa kushirikiana na watu wa ulaya na marekani kwa jali ya kuwakandamiza waislamu wenzao wa mashariki ya kati ikiwemo yemen,iraq na iran yenyewe ktk kurudisha juhudi za kwenda mbele.
Mchafuko huu wa mahgusiano baina ya iran na saudi arabia imekuja baada ya ziara iliyofanywa na kiongozi wa mareakani Rais Donald Trump kwa nchi za mashariki ya kati ikiwemo saudia,israel na palestina na kufanya mfungamano mkubwa wa mikataba ya thamani za dola za kimarekani bilioni 380 na dola 110 kwa ajili ya ununuzi wa silaha za kijeshi kwa ajili ya ulinzi wake wa nchi.

Saudi arabia,kuwait,syria ndio nchi zinazozotumika na marekani kama washirika muhimu sana kwa ajili ya kuzima,kuzuia na kusambarsatisha nchi yeyote inayotishia uhai wa taifa la israel au marekani yenyewe kama iraq,syria na iran yenyewe.

Khomenei aliimbia Saudi arabia kuwa wao ni watu wanakwenda kinyume kabisa na mafundisho ya dini hiyo ya kiislamu hasa kwa vitendo vya hivyo vya kuwa mshirika mkubwa wa taifa la marekani kwa mda mrefu.

Asilimi kubwa ya watu wa taifa la irani ni wa dini ya kiislamu wa dhehebu la Washia (Shia) na watu wa saudi arabia ni Wasuni (suni).





















Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "IRAN WAIAMBIA SAUDI ARABIA KUWA NI WANAFIKI NA VIBARAKA WA MAREKANI WASIOFUATA MAFUNDISHO YA QURAN TUKUFU"

Back To Top