
Ujio wa kiongozi huyo wa urusi umesababisha mamia ya watu kuandamana nje ya jengo kongwe na la kihistoria la Versailles ambamo viongozi hao wawili walikutana na kufanya mazunguzo yao.
Rais macron amekili kuwa mtu yeyote anayetaka kuafanikisha mambo ya kimataifa kwenda sawa basi hana budi kuzunguza na urusi pia na ndio sababu yeye amekutana na kiongozi huyo wa taifa la kikoministi duniani.
Waandamanaji wamepinga na kukemea kwa nguvu kwa Macron kukutana na kiongozi huyo kwa kusema Urusi hana cha kuzungumza naye zaidi ya kuongeza vikwazo zaidi kwani amekuwa akisaidia vutawala wa syria na kufanya vita ya kumuondoa Bashar al Asad kuwa ngumu na sasa kuingia mwaka wa 6 sita toka kuanza kwa vuguvugu la kuung'oa uatwala wa kiongiongozi huyo anayeonekana na jumuiya za kimataifa kuwa ni Dikteta.

Emmanuel Macron amezungumza menginna kiongozi huyo na kufanya makubaliano kadhaa ya kibiashara na kiuchumi zaidi.

jengo kongwe la versailles nchini ufaransa

Rais wa urusi Vladimir Putin
0 Comments "EMMANUEL MACRON AKUTANA NA PUTIN:AKILI HAKUNA KINACHOWEZA KUFANIKIWA KIMATAIFA BILA KUISHIRIKISHA URUSI"