Watu Wengi wamekuwa wakiuliza juu ya ukweli wa taarifa za ndani za kijeshi,usalama wa nchi zinapatikana vipi!! Je zina ukweli wowote ule!?
Jibu: Jeshi la nchi yeyote linakuwa linachukua nafasi ya tatu ktk kupata taarifa za kijasusi au kiusalama.
Watu no.1 kuchunguza,kutafuta na kupata taarifa hizi ni hawa watu wa usalama! Watu hawa ni kitengo maalumu cha siri na dhahiri kwa ajili ya kutafuta taarifa kwa muhimu kwa usalama wa dola husika.
Mashirika haya (Survaillance Secret service organisations) ufanya kazi zao kwa siri ya hali ya juu kwani endapo utagundulika na wanausalama wa matiafa mengine unaweza ukauawa papo hapo.
Marekani kuna NSA,CIA zimeundwa mwaka1947 likiwa na wafanyakazi 40000,
Uingereza kuna M6,M15,M16 1909
Urusi GRU,KGB 1918,
Ujerumani BND 1956
China MSS 1983,
India RAW 1968,
Ufaransa DGSE 1982,
Astralia ASIS 1952,
pakistan ISI 1948,
Saudia Arabia GIP,Brazil ABIN na Japan PSIA
Mashirika haya yote yapo kwa ajili ya usalama wa mataifa husika na utengeneza,kugundua na kutumia vifaa vya teknologia ya hali ya juu kama radar,drone,camera za siri,miwani,satelite,simu,talakilishi ktk kufanya utafiti na uchunguzi wa siri za ndani na nchi za nje kwa ajili ya manufaa ya mataifa yao.
Hivyo kupitia wao wanauwezo wa kufahamua siri na harakati za nchi nyingine kijeshi,kiuchumi na hata kiusalama
Hivi karibuni kumekuwa na kuvuja kwa habari za kijasusi kwa marekani kupitia Julia asange wa wiki leaks,Edward snowden na ile ya Kansela Angela markel wa ujerumani kusikilizwa kwa simu yake na CIA.
Hivi karibuni kumekuwa na kuvuja kwa habari za kijasusi kwa marekani kupitia Julia asange wa wiki leaks,Edward snowden na ile ya Kansela Angela markel wa ujerumani kusikilizwa kwa simu yake na CIA.
Watu hawa wa usalama usambaa ndani na nje ya nchi na maeneo muhimu yote kwa kuichukua taarifa muhimu kwa serikali zao,Wengi wao huwa hawajuani hata kama wanafanya kazi taasisi moja na Mara nyingi hawana share Maalum.
Ningependa kuwaeleza kuwa siri nyingi za nchi zinaweza kuvuja na kusambaa kwa kutumia vyombo hivi muhimu vya usalama,na ndio maana wakati mwingine unaweza kukuta mwalifu anakamatwa kabla ya kutekeleza tukio,shambulizi kama alivyokusudia.
0 Comments "UCHUNGUZI,UTAFITI NA USALAMA NDIO NGUZO MUHIMU KWA NCHI YEYOTE DUNIANI KUENDELEA ZAIDI"