Chungu na tamu! Afrika yetu macho tu! Hakuna cha kutenda kwa wababe hawa.
Wakati marekani ikijitamba kwa kuwa na MOAB (mama wa mabomu) lenye uzito wa kilo 8200 mshindo wa tani 11 TNT uwezo wa kusambaratisha kwa mita 150.
Urusi nayo ina inamiliki bomu liitwalo FAOB (Baba wa mabomu) lenye nguvu mara nne zaidi ya MOAB na uzito wa kilo 7100 na mshindo wa tani 44 TNT na uwezo wa kusambaratisha kwa mita 300,Bomu hili liko Ghalani Siku nyingi hawana mpango wa kulitumia.
Korea kaskazini yeye amegundua Bomu la hydrogeni na nyuklia anayokusudia kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 10000 kufikia Mjini wa Washington USA ambayo yote ni ya sumu kali na yanaleta uharibifu na Vifo kwa miaka mingi pindi yakitumiwa kama ilivyofanyika Hiroshima na Nagasaki huko JAPAN 1944.

Mabomu haya yote ni hatari sana kwani yana uwezo wa kuharibu na kufikia mahala ambapo mabomu mengine hayawezi kupenya kama mapango yaliyo chini ya milima ya miamba migumu,majengo ya zege,maficho ya viongozi,silaha na kambi za kijeshi! (Bankers).
0 Comments "MPAMBANO WA MABOMU YA MOAB NA FAOB KUTOKA MAREKANI NA URUSI."