
Wakati huohuo washinghton kupitia waziri wa mambo ya nchi za nje amewaambia korea kaskazini na china kuwa mda wa kujadiliana na kuvumiliana umekwisha sasa kwakuwa china na korea hawaonyeshi dalili za kutaka kuondoa toafauti zao hizo ktk maswala hayo ya kiusalama hasa kwa korea kaskazini kuendelea na urutubishaji nan utengenezaji wa silaha za kinyuklia kila kukicha.
Hali ya mpakani baina ya korea kusini na kaskazini DMZ imekuwa tete baada ya mareakni kuamua kutembelea hapo na kutaka kuweka makubaliano ya kuapchika mitambo ya kuzuia mambomu na madhara ya nyukilia kutoka kaskazini.
Kwa wiki mbili mfululizo hali imekuwa mbaya zaidi baada ya jeshi la majini na anga la marekani kuendelea kusogeza meli na vifaa vyao vya kivuta ktk rasi ya korea,kiasi cha wachambuzi wa mambo kuona kama china haitoingilia kati basi kuna kila dalili ya kuzuka vita baina ya marekani na korea kaskazini licha kuwa na hatari na madhara mengi.
0 Comments "TUPO TAYARI KWA VITA YA KINYUKLIA MDA WOWOTE ENDAPO MAREKANI ATATUCHUKOZA TUTAJIBU VYEMA"