TETEMEKO LA ARDHI LABIPU TENA KAGERA


Tetemeko la ardhi lililodumu kwa mda mchache mjini bukoba Mkoani Kagera juzi jumamosi usiku na kufanya wananchi wa eneo hilo kushikwa na Taharuki kubwa na kufanya watu kulala nje kwa kuhofia usalama mdogo wa maisha yao.











Tetemeko kama hili limetokea kwa mara ya mwisho septemba 10 2016 na kuleta madhara makubwa kwa kuharibu majengo na mali mbalimbali za watu.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TETEMEKO LA ARDHI LABIPU TENA KAGERA"

Back To Top