Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi ktk kuazimisha siku ya wafanyakazi duniani ambayo kwa kawaida ianafanyika kila mwezi mei mosi kila mwaka, Sherehe hizo zitafanyika ktk viwanja vya chuo cha ushirika Mjini moshi mkoani kilimanjaro.
Rais Magufuli amewasili mkoani kilimanjaro tka siku ya ijumaa akitokea mkaoni Dodoma alipokuwa akipokea ripoti ya uhakiki wa wafanyakazi iliyokuwa ikifanyika toka Oktoba mwaka 2016.
Jana akiwa mkoani humo Rais alisali ibada ya jumapili ktk kanisa katoliki la na kuzungumza na waumini walikuwapo kuwa yeye sioi mtu katili,mkali au mwenye roho mbaya kwa wartu wema wanaotenda haki lakini anakuwa hivyo kwa watu wahuni,wauza madawa na wanaopenda maisha ya mkato huku wakitumia njia zisizo halali ktk kufanikisha mambo hayo.
0 Comments "JPM: MGENI RASMI SIKU YA WAFANYAKAZI KILIMANJARO"