SILAHA NZITO ZA KIVITA ZONYESHWA NA KOREA KASKAZINI KTK KUMBUKUMBU ZA MUASISI WA TAIFA KIM IL SUNG

Kim Jong Un ameonya serikali ya mareakani na washirika wake wa ulaya juu ya uchokozi wa wazi wanaoufanya kwa kuendelea kusogeza maowari zao za kivita jirani na rasi yao kuwa jambo hilo halitovumiliwa kamwe na wao wako tayari kwa vita kali ya kinyuklia endapo kama wataona kuwa wanazidi kufuatwa.

Maneno hayo yametolewa ya kiongozi Kim Jong Un akiwa ktk Sherehe za kumbukumbu ya miaka 105th Babu yao muasisi wa Taifa hilo la kimunisti Kim il Sung,sherehe hizo zimeambatana na maonyesho ya silaha nzito za makombola ya masafa marefu ya kusafiri umbali wa kilomita 1000 sawa na kutoka bara moja hadi lingine.

Magari na mitambo mikubwa imeonyeshwa mbele ya hadhara hiyo ya heshima ya kijeshi na kuendelea kusema korea kusini anaendelea kufanya mazoezi na washirika wake marekani jirani na mipaka kuwa hali hiyo inaweza kuwaletea madhara makubwa kwao korea kusini.





Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SILAHA NZITO ZA KIVITA ZONYESHWA NA KOREA KASKAZINI KTK KUMBUKUMBU ZA MUASISI WA TAIFA KIM IL SUNG"

Back To Top