Mnamo tarehe 26 april 2017 china imeishangaza dunia kwa kuzindua meli yake mpya kubwa ya kivita yaambayo itatumika kwa ajili ya kubebea ndege za kivita,meli hii kubwa ya kwanza kutengenezwa na wachina wenyewe ya 001A bado haijapewa jina rasmi hadi sasa.
Meli hii inategewa kuanza kazi rasmi 2020 ikiwa na uwezo wa kubeba tani 10,0000 tofauti na ile ya awali ya Liaoning walionunua kutoka Ukraine mwaka 1998 iliyotengenezwa na Urusi yenye kubeba tani 60,000,meli hii ya kipekee iliyokuwa inamilikiwa na china kwa shughuli za kubeba ndege za kivita imekuwa ktk matengenezo mdogo toka 2012.
001A imezinduliwa na wachina imetengenezwa bandari ya Dilian iliyopo kaskazini mashariki mwa china inategemewa kutumika kwa miaka 15 kabla ya marekebisho mengine, japan inamiliki meli kama hii yenye uwezo wa kubeba tani 27000,india 45000, marekani tani 97000 ya USS renald reagan

0 Comments "MELI MPYA YA KIVITA YA CHINA YASHANGAZA MATAIFA YA MAGHARIBI"