GWAJIMA MUBASHARA AKIWA CLOUDS REDIO KTK KIPINDI CHA POWER BREAKFAST

Kwa maelezo zaidi ingia akaunti ya instagram cloudtz kuona ujio wake.











Asema hana mpango wa kugombea ubunge hata kidogo huko koromije.

Swala mtoto aliyeshutumiwa kuwa ni wake akana na asema hana mahusianao nae na huyo binti kwasasa yuko ustawi wa jamii aakitoa maelezo kwa maandashi juu ya swala hilo.

Asema yeye ana watoto watatu tu na sio zaidi na hapo na hata ikitokea kuwa nae basi hana shida atalea tu kwani uwezo anao hawezi kutelekeza mtoto.

Kuhusu cheti cha alberty bashite asema yeye hawezi zungumza mengi kwani elimu ya bwana huyo ina mashka na siri kubwa na akisema anaweza kuiweka nchi mahali pagumu sana.

Gwajima asema ikiwa dunia iliingia ktk vita za dunia 1914- 1918 na ile ya pili 1939-1945 ila ikaisha basi hata vita ya sasa inayoendelea baina yao itaisha.

Mchungaji huyo wa kanisa la ufufuo aliongeza kwa kusema kuwa alikuja clouds hapo baada ya kugundua alivykuwa naifikiria clouds midia aligundua sivyo kabisa na alihidi kushirikiana na clouds media bega kwa bega.

Afanya maombi na kumombea Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa afya njema yeye na familia yake.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "GWAJIMA MUBASHARA AKIWA CLOUDS REDIO KTK KIPINDI CHA POWER BREAKFAST"

Back To Top