MELI KUBWA ZA ABIRIA


Najua unajua! Kuwa usafiri wa ktk maji ndio unaobeba mizigo yenye uzito mkubwa kuliko wa reli,barabara na anga! Kuzama kwa meli kubwa ya abiria TITANIC 15/4/1912 ktk bahari ya Atlantic inayomilikiwa na uingereza kulifungua kurasa mpya ya maendeleo ya sekta hiyo ya usafiri! Meli hizi za abiria na mizigo sasa zipo zenye ukubwa wa mita hadi 400 sawa na urefu wa viwanja vinne 4 vya mpira wa miguu,kama Britannia,queen Mary one na two,quantum,Norwegian,divina,cma,cmg,Emma maersk,msc,intal Florida na oasis,ubeba mizigo na watu had I kufukia tani 227000 laki mbili na ishirini na saba,kama ni kontena hadi 15000 elfu,tanki za mafuta huchukua hadi tank 3000 kwa safari,meli hizi ni nzuri sana na zina vitu karibu vyote vya msingi kwa matumizi ya binadamu yaan vyoo,jiko,vyumba vya kulala,migahawa,kumbi za miziki,viwanja vya michezo na mazoezi na 
utembea baharini kwa miezi kadhaa kupitia bandari kubwa ulimwenguni kama za 
uturuki,uingereza,new York,Rio de jeneiro,ufarance na hata kwenda sehemu za kusini mwa dunia kama antaktika!Image may contain: table and indoor
Muonekano wa ndani wa meli hizi kubwa za kifahari!



Image may contain: ocean, water and outdoor

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MELI KUBWA ZA ABIRIA"

Back To Top