MAENDELEO YA TEKNOLOGIA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA

No automatic alt text available.JE WAJUA? Kuwa shirika la kimataifa la utengenezaji wa ndege la airbus lenye makao makuu nchini ufaransa ndio limetengeneza ndege kubwa zaidi ya abiria duniani,shirika linamilikiwa na uingereza,ufaransa,ujerumani,licha ya kuwapo kampuni ya boing ya marekani yenye uwezo wa kubeba abiria 615,concord ya nchini uingereza inabeba abiria 525 ila kwa airbus380 ni zaidi ya hizo,ndege hii inachukua watu 868 ina floor mbili chini na juu,huchukua tani 394,mafuta Lita 320000,inatembea spidi ya kilometa 1020 kwa saa moja sawa na kutoka mtwara hadi mwanza,inafanyiwa matengenezo kila baada ya kufanya safari kwa masaa 3600 ya angani,ndege hii ina injini mbili kila upende sawa na injini nne za aina ya rolls Royce na gp alliance,imezinduliwa rasmi mwaka 2005,mashirika ya kwanza kutumia ndege hii ni fly emarates,Qatar airways,Malaysia airline,luftansa la ujerumani!!!!! Najua wajua Ila nakujuza zaidi!!  Airbus380,the most luxurious passenger air liner!!! Wonderful work of advancement in science and technology!!!!
Image may contain: airplane, sky and outdoor

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MAENDELEO YA TEKNOLOGIA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA"

Back To Top