SULTANI WA OMAN AIPA MSAADA TANZANIA

Ujumbe wa zaidi ya watu mia tano 500 uliowasili nchini hivi karibuni ukitokea nchi ya Oman,ujumbe huu wa wafanyakazi na wafanyabiashara wa nchi hiyo umeagizwa na sultane Qaboos kuja ktk visiwa vya zanzibar na Bara kwa mda wa siku 5 ikiwa zanzibar wamekaa siku tano kabla ya kuja Tanzania bara.

Si mara ya kwanza kwa mfalme huyu wa Oman kuja nchini,ktk awamu ya tano ya Mh.Jakaya Mrisho kikwete aliwahi kufika nchini na kuwekeana mikataba mbalimbali ya kijamii na kiuchumi,Oman nchi ya ghuba iliyowahi kutawala Zanzibar (unguja na pemba) ktk karne ya 19 (1840).

Oman ikiwa ni miongoni mwa nchi ndogo ktk ghuba ya uajemi inayopataikana ktk jangwa imewekeana makubaliano ktk ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,kuchimba visima zaidi ya 500 na miradi mingine mingi.

Oman inategemea zaidi ktk rasilimali za Gesi na mafuta ambayo yanapatikana kwa kiwango kikubwa ktk nchi hiyo na za jirani kama UAE,Qatar,Saudi Arabia.

Ujumbe huu wa watu mia tano 500 umekuja nchini kwa kutumia usafiri wa meli kubwa ya kifahari (Cruise Liner ship).





Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SULTANI WA OMAN AIPA MSAADA TANZANIA"

Back To Top