KAIRUKI,UMMY MWALIMU,NDALICHAKO WANG'AA BARAZA LA MAWAZIRI

Terehe 7 oktoba 2017 Rais John Pombe Magufuli amelifumua baraza la mawaziri la awali na kuunda upya,Rais Magufuli ameunda upya baraza hilo la mawaziri baada ya kupatikana kwa changamoto nyingi za kiutendaji kwa baadhi ya mawaziri hao zilizotokana na kashfa za rushwa na kukiuka maadili ya utumishi wa umma,hali hii ilipelekea baadhi ya mawaziri kujiuzulu kwa lazima kutokana na kauli ya rais kwa kuwataka wafanye hivyo mara moja.

Charles Kitwanga ni moja ya mawaziri waliojiuzulu baada ya kugundulika aliingia bungeni akiwa ametumia kilevi kwa kiwango kikubwa kiasi cha kujulikana na wabunge wenziwe wakati akiwa anajibu maswali,Sospeter Muhongo pia alikutwa na kashfa ktk uchunguzi wa kamati mbili za madini zilizoundwa rais na kuleta ripoti ambayo ilimuhusisha moja kwa moja na matumizi mabaya ya madaraka kuliko isababishia serikali hasara ktk madini,Nape Nnauye baada ya sakata la uvamizi wa kituo cha habari cha Clouds Media Mikocheni Dar es salaam.





Baraza jipya la mawaziri limehusisha na panga pangua ya kuongeza wizara mbili  madini na nishati kuwa tofauti na kuwa na idadi ya mawaziri 21,manaibu waziri 21

Wizara ya Utumishi -waziri ni Georgr Mkuchika,

Nishati -dk Medard Kalemani na naibu Subira Mgalu,

Madini -Angela kairuki,naibu Stanslaus Haroon Nyongo

Ujenzi -Makame Mbarawa naibu Atashasta Nditia na Elias Kwandikwa

Fedha -Philipo mpango naibu Ashatu Kijaji

Katiba -Palamagamba Kabudi

Habari -Harrison Mwakyembe naibu Juliana Shonza

Ndani Mwigulu Nchemba naibu Hamad masauni

Maliasili -Hamis Kigwangala naibu Japhet Husunga

Ardhi -Wiliam Lukuvi naibu Angelina Mabula

Kilimo -Charles Tizeba naibu Mary Mwanjelwa

Mifugo na uvuvi -Luhanga Mpina naibu Abdallah Ulega

Mambo ya nje -Augustine Mahiga naibu Suzan Kolimba

Ulinzi -Hussein mwinyi

Maji -Isack Kamwelwe naibu Jumaa Aweso

Viwanda Na Bishara -Charles Mwijage na naibu Stella Manyanya

Elimu -Joyce Ndalichako naibu William Olenasha

Afya -Ummy Mwalim naibu Faustine Ndugulile

Tamisemi -Seleman Jaffo naibu Josephat Kandege sekamba na Joseph Kakunda

Mazingira -January Makamba naibu Kangi Lugola

Vijana,kazi,sera na bunge -Jenista Mhagama naibu Antony Mavunde na Ste

lla Ikupa

Bunge nalo laguswa kwa kuoondolewa a;liyekuwa katibu wa bunge Ndugu Thomas Kashilila na kuwekwa Stephen Kagaigai

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "KAIRUKI,UMMY MWALIMU,NDALICHAKO WANG'AA BARAZA LA MAWAZIRI"

Back To Top