CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHAAPA KUFANYA MAAJABU CHINA

Chama cha kikomunisti cha china (Communist Party of China) chama pekee kinachotawala nchi hiyo kwa miongo kadhaa toka kutoka kwa Waingereza Oktoba 1 1949,kimweka kokangamano kubwa ndani ya jiji la Beijing ambao ndio mji mkuun wa taifa hilo.

Mkutano huo ambao ulifanyika kwa siku kadhaa ukiwa unasimamiwa na Rais na mwenyekiti wa chama tawala Xi Jin Ping,alizungumzia kuwa chama chake kinakusudia kupambana na ubadhilifu wa kila aina ikiwemo rushwa,madawa ya kulevya na kuendelea kupunguza kiwango cha umasikini kwa wananchi wa taifa hilo.

China imeendelea na kuweka nia ya kweli ktk kulipeleka taifa hilo mbele ktk uchumi wa juu zaidi haswa wa viwanda,China ni miongoni mwa mataifa machache sana yaliyofanya maendeleo ya haraka kwa mda mfupi sana.

China yenye miji mikubwa zaidi ya 14 yenye watu wasiopungua milioni sita,china ina zaidi ya idadi ya watu wapatao bilioni moja na milioni mia nne (1.4 bilioni) ikiwa ndio nchi inayoongoza kwa idadi ya watu duniani ikifuatiwa na india yenye watu bilioni moja na milioni mia mbili (1.2 bilioni).

Zaidin ya miaka 69 ya uhuru china imepiga hatua kubwa ktk maendeleo ya ndani na bado chama hiko kimeapa kuendelea kusaidia nchi marafiki kwa kiasi kikubwa.

China inakumbwa na migogoro ya ndani hasa ktk jimbo la Tibet ambapo linataka kujitenga na kuongozwa na Dalai lama alieykuwepo uhamishoni,utawala wa china unalaumiwa kwa kukandamiza demokrasia ktk majimbo ya Hongkong,Tibet na hata kwa watu wanaojaribu kuikosoa serikali hiyo.

China imekuwa nchi yenye nguvu za kiuchumi,kisiasa na hata kijeshi kwa miongo ya hivi karibuni,wako mbali ktk teknolojia.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHAAPA KUFANYA MAAJABU CHINA"

Back To Top