Kufuatia kutokuwepo ikulu kwa Rais wa Nigeria Muhammad Buhari kwa zaidi ya siku 100 ambazo amezitumia kuweka afya yake sawa nchini uingereza,Panya waharibifu wameingia na kufanya uharibifu wa taarifa muhimu ktk ofisi ya kiongozi huyo wa nigeria ambaye toka kuchukua madaraka amekuwa sio mtu wa kukaa ofisini kutokana na kusumbuliwa na matatizo ya kiafya ambayo bado hayako wazi hadi sasa kwa wananchi.
Muhammad buhari aliyerudi jumamosi ya wiki iliyopita kutoka ktk tiba amekosolewa kwa kitendo cha kuiacha nchi wazi ikiongozwa na makamu wa raisi na yeye kuwa uingereza akitoa maelekezo tu kwa njia za mawasiliano.
Buhari ameshika madaraka toka mwaka 2015 baada ya kutoka kwa Goodluck Jonathan,Buhari mwenye umri wa miaka 74 sasa amekaliliwa atafanya kazi za kiofisi nyumbani kwake hadi hapo marekebisho yatakafanyika.

0 Comments "PANYA WAFANYA UHARIBIFU MKUBWA IKULU"