LONDON YAPATA PIGO JIPYA LA KIGAIDI RAIA 8 NA MAGAIDI WATATU WAUAWA ENEO LA TUKIO

Watu wapatao 8 wauawa na magaidi eneo la tukio

Magaidi 3 waliokuwa na silaha waliingia ktk eneo wakiwa ndani ya garin ndogo nyeupe (Van)


Walijivisha nguo z kuzuia risasi hata hivyo polisi waliwahi eneo la tukio na baada ya dakika 8 na kufanikiwa kuua magaidi wote watatu kabla ya kufanya madhara ziaidi


Magaidi hao walivamia eneo la jiji la londoni mashariki usiku na kuanza kupiga risasi hovyo watu


Watu 48 wajeruhiwa na wengine wako ktk hali mbaya sana hospitalini


Wazirri mkuu wa uingereza Bi.Theresa May awaka na kusema sasa waingereza wamechoka sasa na inatosha sana kwa kile walichofanyiwa na magaidi mfululizo.

Sheria za uhamiaji,idara za usalama zinatarajiwa kubadilisha kulingana na matukio yanayotokea.

Wacghambuzi wanasema Dunia imekuwa sio mahali salama toka kutokea shambulizi la kigaidi la septemba 11 2001 lililofanywa na kundi la Al-qaeda ktk miji ya New york,pentagoni na kuharibu majengo pacha ya kituo cha biashara cha dunia WTC 

Wengine wasema maamuzi ya uingereza na washirika wake kwenda kuvamia nchi kama afghanstan,iraq ndio yamewafikisha pale'

Sera za kupokea wakimbizi kutoka nchi zenye vita duniani kama syria,palestina,somalia,iraq,afghanstan ndio tatizo la kwanza


Waingereza waishi kwa hofu kubwa hasa kujiingiza maeneo ya mikusanyiko kama ktk kumbi za starehe,migahawa,sehemu za ibada,sokoni kwa kuhofia usalama wao kwani magaidi wanapendelea kufanya matukio yao hayo ktk mikusanyiko mikubwa ya watu.

Uingereza inapata mapigo haya mfululizo baada ya shambulio la Westminister bridge na lile la Manchester Arena.

Kampeni za uchaguzi mkuu zilizokuwa zinaendelea kwa vyama vya Labour na Conservative wakubaliana kuzisitisha kwa siku moja.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "LONDON YAPATA PIGO JIPYA LA KIGAIDI RAIA 8 NA MAGAIDI WATATU WAUAWA ENEO LA TUKIO"

Back To Top